Meya Azindua Mbio za Kilomita 5000 katika mbio za Mapinduzi Festivals 2021

 

Kutoka Kushoto: Bw. Jackson Jorwa, Kocha Francis John , Meya wa Jiji la Arusha, Mh. Maximillian Iraqhe , Mkurugenzi wa Gidabuday Sports Tourism Foundation, Bw. Wilhelm Gidabuday na Bw. Ndaweka wakiwasili kwenye mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Meya wa Jiji la Arusha Bw. Maximillian Iraqhe akianzisha mbio za mita 5000 katika mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha



Mkurugenzi Mtendaji wa Gidabuday Sports Tourism Foundation, Bi. Eva Gidabuday ( Mwenye Koti la Njano) na waandishi wenzake wa mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festivals 2021 ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.


Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga