MEYA WA JIJI LA ARUSHA AHUDHURIA MBIO ZA MAPINDUZI FESTIVAL 2021

Mkurugenzi wa Gidabuday Sports Tourism Foundation, Bw. Wilhelm Gidabuday akizungumza na wanahabari kusuhu mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Bw. Maximillian Iranqhe akiwasili kwenye mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Meya wa Jiji la Arusha, Bw. Maximillian Iraqhe akizungumza na wanahabari kuhusu mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha, kushoto kwake ni Koch Francis John.
Waandikishaji wa washiriki wa mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Comments