Posts

MSIBA CHALINZE: Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh.Said Ramadhani Bwanamdogo amefariki dunia

Image
Said Ramadhani Bwanamdogo Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh.Said Ramadhani Bwanamdogo amefariki dunia mapema leo katika hospitali ya MOI Dar Es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. Tunawaombea mungu awape nguvu ndugu jamaa, marafiki na taifa katika kipindi hiki kigumu kwetu. 'Yeye mbele sisi nyuma yake; Mwenyezi mungu amweke mahali pema peponi' AMINA.

Obituary: Popular Isidingo Star 'Letti Matabane' Actress Lesego Motsepe has died

Image
Lesego Motsepe The actress best known for her role in South African soapie Isidingo; The Need as Letti Matabane died at about 11:00 CAT. In 2011, Motsepe set tongues wagging when she publicly announced that she was HIV-positive. "The virus lives in my blood, for 13 years I had known, and I wanted to use the opportunity god gave me to be a mentor to those who will be going through the same struggles I have gone through” . Motsepe said in 2011 when she first public spoke about her HIV status. Source: S.A . Media

RASMI: Mheshimiwa rais Dr.Jakaya Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo

Image
OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. OFISI YA MAKAMU WA RAIS Waziri wa Nchi (Muungano) – Hakuna mabadiliko Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb) Waziri wa Nchi (Mazingira). Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb) Naibu Waziri OFISI YA WAZIRI MKUU Hakuna mabadiliko WIZARA WIZARA YA FEDHA Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb) – Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb) – Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb)- Naibu Waziri wa Fedha WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Hakuna mabadiliko WIZARA YA KATIBA NA SHERIA Mhe. Dkt. Asha-Rose Mtengeti MIGIRO (Mb)-Waziri wa Katiba na Sheria Naibu Waziri – Hakuna mabadiliko WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI Hakuna mabadiliko WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA Waziri – Hakuna mabadiliko Mhe. Janet Zebedayo MBENE (Mb) – Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb)- Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa WIZARA ...

TANZIA: Mwandishi wa BBC Komla Dumor amefariki ghafla nyumbani kwake London kutokana na mshtuko wa moyo

Image
Alikuwa na miaka 41 alipopata mauti yake.Komla Dumor ameelezewa kuwa miongoni mwa waandishi shupavu barani Afrika. Rais wa Ghana John Dramani Mahama amemtaja marehemu kama zawadi ya Ghana ulimwenguni na kuongezea kuwa Ghana imempoteza mmoja wa wajumbe wake. Komla hivi karibuni alikuwa anaongoza kipindi cha Runinga kinachozungumzia maswala ya Afrika baada ya kufanya kazi katika radio mmoja nchini Ghana na vilevile radio ya BBC. Mhariri wa habari za ulimwengu Andrew Whitehead amemtaja kuwa mwadishi shupavu aliyekuwa na uhusiano mzuri na wasikilizaji. Chanzo: BBC SWAHILI