Posts

SOKOINE MINI MARATHON 2014: Usajili wa namba za washiriki umeanza rasmi

Image
Namba zimeanza kutolewa kwa washiriki wa mbio za Sokoine Mini Marathon Km 21 na Km 2 ambazo zitatimua vumbi Aprili 12, 2014 Monduli mkoani Arusha, rais Jakaya Kikwete ndiye atakayepuliza kipenga cha kuanza mbio hizo. Ada ya namba ni Tsh: 2,000 tu, namba zinapatikana Arusha pale Uwanja wa kumbukumbu ya SHEIKH AMRI ABED KARUME na Monduli pia. Kwa washiriki wote nje ya mkoa wa Arusha wasiliana na VICTOR MACHOTA kwa 0787415864 ambaye atapokea usajili kwa njia ya simu na namba yako utajulishwa kwa SMS na itahifadhiwa hadi utakapoichukua. Mwisho wa kuchukua namba yako ni Ijumaa April 11, 2014 Arusha mjini. Kwa wale watakaosajili kwa njia ya simu tunaomba mtume hela kwa AIRTEL MANEY kwa namba ya Victor Machota, unaombwa uongezee gharama kidogo ya kutoa pesa mtandaoni. Kwa wale watakaosajili namba papo kwa papo wawasiliane na PHAUSTIN BAHA 0753860668 kwa maelezo zaidi na kwa wale wa Monduli wawasiliane na ROBERT MOLEL kwa 0753739128. Kwa ratiba kamili hapo baadae pitia...

‘Jakaya Kikwete Sports Village’ kujengwa Dom

Image
Mfano wa ramani ya Center inayotarajiwa ya Dr. Jakaya Kikwete National Sports Village MAANDALIZI ya ujenzi wa kijiji cha michezo kitakachojulikana kama Jakaya Kikwete Sports Village yanaendelea vizuri, ambako tayari Ikulu, Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na Wizara ya Michezo wametoa baraka kijengwe mjini Dodoma. Akizungumza na   Tanzania Daima , Mratibu wa ujenzi wa kituo hicho, Wilhelm Gidabuday, alisema ujenzi wa kituo hicho kikubwa na cha kwanza nchini, tayari maandalizi yake yameshafikia pazuri na Ikulu ya Tanzania kupitia ofisi ya Katibu wa Rais, imeshawapa baraka ya kutumia jina la Rais katika kituo hicho. Gidabuday alisema, wiki iliyopita walikutana na Katibu wa Rais, ambako waliwasilisha maombi yao na kukubaliwa na kwamba, kuanzia sasa kituo hicho ambacho ujenzi wake utasaidia kuinua vipaji vya michezo yote hapa nchini, kitafahamika kama kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete (Jakaya Kikwete Sports Village). “Nidokeze tu kuwa, mipango yote inakwenda sawa, tumeshaf...

OFA: Makampuni yanakaribishwa Sokoine Marathon "Corporate Team Challenge"

Image
Kama njia ya ushirikiano na makampuni ambayo huwa inakuwa mstari wa mbele kudhamini michezo; Tunayo furaha kukaribisha kampuni zenye kutaka kushiriki na kutangaza bidhaa zao. Kwa watakaokidhi masharti wataruhusiwa kuweka HEMA la mauzo na matangazo ya bidhaa zao. Michezo ni kila kitu ikiwemo elimu, afya, ajira, biashara, utalii, diplomasia UZALENDO etc. Karibuni sana watanzania wote.

Sokoine Marathon attracts top local athletes

Image
Minister for Information, Youth, Culture and Sports, Dr Fenella Mukangara By Joseph Mchekadona 29th March 2014 Five top local athletes have confirmed their particitipation at the forth coming Sokoine Marathon slated for April 12 at Monduli in Arusha. The event’s organizer, Wilhelm Gidabuday, said yesterday that Mary Naali who competed at the India Commonwealth Games in 2010 was among them. Others are local international regulars athletes are Andrew Sambu Getuli Bayo, Dickson Marwa and Alphonse Felix. Gidabuday said there will be also several sports and entertainment activities such as traditional games and dances. There will be also sports such as javelin, mini marathon for juniors and seniors. This is the second time this event to commemorated the death of former Tanzania Prime Minister Edward Sokoine who died in a car crash on April 12,1984 at Dumila in Morogoro. Gidabuday said that last year the Minister for Information, Youth, Culture and Sports,...

MOTISHA KWA WANAMICHEZO: Tuzo wanamichezo bora Juni 27

Image
TUZO za wanamichezo bora Tanzania 2013/14 zinatarajiwa kutolewa jijini Dar es Salaam Juni 27 zikiwa na kaulimbiu ya ‘Wanamichezo Tupige Vita Ujangili’. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mwenyekiti wa kamati ya tuzo hizo, Rehure Nyaulawa, walikutana Dar es Salaam juzi na kukubaliana masuala mbalimbali juu ya kuboresha tuzo hizo ikiwemo tarehe ya kuzitoa. Nyaulawa alisema ukumbi utatangazwa kwa ushirikiano wa kamati hiyo pamoja na Kamati ya Utendaji ya Taswa na tayari juhudi za pamoja za kuzungumza na wadhamini mbalimbali wakubwa na wadogo kwa nia ya kufanikisha tuzo hizo katika tarehe iliyopangwa yameanza na kuna muelekeo mzuri. CHANZO: Tanzania Daima

US POLITICS: Does Obamacare Violate Religious Freedom?‏

Image
On Tuesday morning, the Supreme Court heard arguments in the most scrutinized case of its term.  The issue: Does Obamacare violate the religious freedom of private employers by requiring them to provide insurance coverage for contraceptives?  The case raises several fascinating questions. Are for-profit corporations capable of holding and expressing religious beliefs? Or do those rights belong only to individuals? It’s the first Supreme Court test for the health care law since 2012, when the justices narrowly upheld its constitutionality. SOURCE:NBC NEWS

Tanzania is a land of everything; Tanzanite, Kilimanjaro, Serengeti, Zanzibar etc.

Image
Tanzanite is the blue/purple variety of the mineral zoisite (a calcium aluminium hydroxy silicate ) discovered in the Mererani Hills of Manyara Region in Northern Tanzania in 1967, near the city of Arusha and Mount Kilimanjaro . Tanzanite is used as a gemstone , and naturally-formed tanzanite is extremely rare, still found only in the Mererani Hills. Tanzanite is noted for its remarkably strong trichroism , appearing alternately sapphire blue, violet and burgundy depending on crystal orientation. Tanzanite can also appear differently when viewed under alternate lighting conditions. The blues appear more evident when subjected to fluorescent light and the violet hues can be seen readily when viewed under incandescent illumination. Tanzanite is usually a reddish brown in its rough state, requiring artificial heat treatment to bring out the blue violet of the stone. The mineral was named by Tiffany & Co. after Tanzania, the country in which it was discovered. I...