Posts

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Image
Kutoka kushoto ni Rogath John Stephen ,mwanariadha wa kimataifa na mtoto wa mwanariadha maarufu duniani Bw. John Stephen Akhwari ,Phaustin Baha Sulle mshindi wa medali ya fedha katika nusu marathon na Mwanaharakati wa michezo Tanzania Bw. Wilhelm Gidabuday.   ........................................ By Adam Ihucha and Gadiel Urio -Arusha.   Tanzania is set to have a national sports training Village, thanks to an initiative by one of its renowned athletic. The sports academy will be named after the John Stephen Akhwari’, the probably forgotten first Tanzanian athletic to participate in 1968 summer Olympics in Mexico. The World renowned athletic, Wilhelm Gidabuday, who happened to be a Tanzanian is behind the proposed Tsh 1 billion athletic training village, the first of its kind in the country. Mr Gidabuday, and a gifted Arusha based journalist and blogger, Gadiel Urio are currently working extra time to prepare nearly 700km marathon relay in a bid to r

JOHN STEPHEN AKHWARI ,MWANARIADHA WA KIMATAIFA ALIESAHAULIKA NA VIONGOZI WA MCHEZO HUO

Image
  JOHN Stephen Akhwari akiwa na baadhi ya medali zake alizozipata katika mashindano ya riadha ,kutoka mataifa mbalimbali. Mzee huyo anafahamika sana kwa kauli yake aliyoitoa nchini Mexico mwaka 1968 Olympic Games kuwa "Nchi yangu haijanituma kuja kuanza mashinadano; Bali kumaliza mashindano".  Mwanadada wa libeneke la kaskazini na mwandishi wa gazeti la nipashe Bi.Woinde Shizza akiwa kwa mzee John Stephen Akhwari wakati alipomtembelea nyumbani kwake mbulu mkoani Manyara. Hii ndio nyumba ya mzee Akhwari mwanariadha Nguli aliyeweza kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania Mwaka 1968 Olympic Games huko Mexico. Mzee John Stephen Akhwari akiwa amepozi sebuleni kwake   Na Woinde Shizza, Arusha JOHN Stephen Akhwari ni miongoni mwa wanariadha wenye historia kubwa hapa nchini kutokana na umahiri wake katika mchezo huo. Akhwari anakumbukwa sana katika Michezo ya Olimpiki kutokana na kauli yake ya kizalendo aliyoitoa wakati al

GIDABUDAY AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI JIJINI ARUSHA

Image
Wadau wa Michezo nchini wakizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha ;kutoka kushoto ni Gadiel Urio PR wa Shughuli hiyo, Rogath John Stephen(Mwanariadha wa kimataifa na Mtoto wa John Stephen Akhwari) , Bw. Wilhelm Gidabuday ambae ni mwanariadha na mwanaharakati wa Michezo Tanzania na Phaustin Baha Sule Mwana Riadha na Mshindi wa medali ya nusu marathon. Kutoka kushoto ni Rogath John Stephen ,mwanariadha wa kimataifa na mtoto wa mwanariadha maarufu duniani Bw. John Stephen Akhwari ,Phaustin Baha Sulle mshindi wa medali ya fedha katika nusu marathon na Mwanaharakati wa michezo Tanzania Bw. Wilhelm Gidabuday. Ha p a wakipewa maelekezo na PR wa shughuli hiyo,kabla ya kuanza kwa mazungumzo na Vyombo vya Habari ,katika mkutano wa vyombo vya habari vilivyofanyika Jijini Arusha.  . **********************   Na Gadiel Urio -Arusha “Sisi   kama wadau wakubwa na wazalendo wa michezo Tanzania ,tumeamua kuanzisha tukio hili la harambee,