Posts

HAFAI TENA: Cheka mbaroni, ampiga mtu baa Morogoro

Image
BONDIA FRANCIS CHEKA JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia bingwa wa ngumi za kulipwa duniani, Francis Cheka ‘SMG’ kwa tuhuma za kumchapa Meneja wa baa ya Vijana Social Hall iliyopo Kata ya Sabasaba, Manispaa ya Morogoro.  Kwa mujibu wa maelezo ya meneja huyo, Bahati Kabanda ‘Masika’ (39), Cheka alifika katika baa hiyo majira ya jioni na kuanza kumtukana na kumshambulia kwa maneno machafu kisha kumvamia na kuanza kumchapa ngumi na mateke sehemu za tumboni. Kwamba ni tukio la Juni 2, mwaka huu katika baa hiyo inayomilikiwa na promota wa ngumi za kulipwa mkoani hapa, Zumo Makame. Kabanda amedai wakati akipewa kichapo na Cheka, hakuna mtu aliyesogea kuamulia ugomvi huo kutokana na watu kumuogopa bondia huyo aliyewahi kuwapiga mabondia wa ndani na nje ya nchi. Alidai Cheka alifika katika baa hiyo na dalili za kulewa pombe na baada ya kuondoka, wasamaria wema walimchukua yeye hadi katika hospitali ya rufaa ambako alilazwa na kupatiwa vipimo na matibabu ya maumivu aliyoyapat

SHABANI HIKI: Ninaimani timu ya riadha itailetea heshima Tanzania

Image
Timu ya wanariadha waliokuwa Ethiopia kwa mazoezi ya maandalizi ya mashindano ya Jumuia za Madola imerejea nchini jana. Katikati ni kocha aliyefuatana na timu Ndg. Shabani Hiki. Wanariadha hao waliowasili nchini kupitia uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere waliahidi kuiletea heshima Tanzania kwa kuzoa medali katika mashindano yatakayofanyika Glasgow Scotland mwishoni mwa mwezi huu wa July. Mwanzoni mwa mwezi June mwaka huu serikali ilitoa fedha za makambi kupitia wizara ya Mambo ya Nje katika harakati za kuinusuru Tanzania kupata medali katika mashindano hayo ya Commonwealth Games yajulikanayo pia kama "Family Games" zinazoshirikisha nchi zote zilizowahi kuwa chini ya himaya ya Uingereza.

RIADHA: Ikangaa awalipua wanariadha

Image
K anali Mstaafu Juma Ikangaa Mwanariadha wa zamani, Juma Ikangaa, amesema wanariadha wengi wa Tanzania wanaponzwa na kutokuwa wakweli, huku akibainisha kuwa kutokuwapo kwa mkimbiaji wa mbio ndefu, Samson Ramadhan kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola msimu huu ni pigo kwa Taifa. Kauli ya Ikangaa imekuja siku chache baada bingwa huyo wa marathoni wa michezo ya Jumuiya ya Madola ya 2006, kuondolewa kwenye kikosi cha Tanzania kitakachoshiriki michezo hiyo msimu huu. Wiki iliyopita, Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Gulam Rashid, alisema Ramadhan ambaye yuko kambini nchini China kujiandaa na michezo hiyo hataweza kushiriki kwa kuwa ni majeruhi na kama kutakuwa na uwezekano atarejea nchini kabla ya kambi hiyo kumalizika. Akizungumza na gazeti hili jana, Ikangaa alisema kuondolewa kwa Ramadhan kwenye kikosi hicho ni pigo. “Kutokuwa na mwanariadha huyo ni pigo kwa taifa, hata hivyo walifanya makosa, wasingemjumuisha kwenye wanariadha waliokwenda nje kwani awali nilisikia ni

WORLD CUP:Obama Watches U.S. and Germany Match on Air Force One

Image
President Barack Obama caught soccer fever and spent some time watching the first half of the U.S. and Germany World Cup soccer match on his way to Minnesota on Thursday aboard Air Force One. To Obama's right is senior advisor Valerie Jarrett

World Cup 2014: Boateng and Muntari expelled by Ghana

Image
Kevin-Prince Boateng and Sulley Muntari have played in Ghana's two games so far    Sulley Muntari and Kevin-Prince Boateng have been expelled from Ghana's World Cup squad for alleged indiscipline.  A statement on the Ghana Football Association said both players had "been suspended indefinitely". It added Boateng had used "vulgar verbal insults targeted at Coach Kwesi Appiah" and said Muntari was guilty of an "unprovoked physical attack on an executive committee member". The news comes just hours before Ghana take on Portugal on Thursday.  The Black Stars still have an outside chance of qualifying for the knockout phase of the tournament. The Ghana FA statement said the incident involving AC Milan's Muntari took place on Tuesday and named Moses Armah, a member of the team management, as the man said to have been assaulted by the 29-year-old.  And Schalke 04 player Boateng, 27, was said by the Ghana FA to have shown &qu

APPOINTED: H.E. President Jakaya Kikwete has appointed Joseph Edward Sokoine

Image
Ambassador Elect Joseph Edward Moringe Sokoine taking an oath of office as the president watch and listens to him at the State House in Dar Es Salaam Yesterday. The new ambassador has been tasked to be Director In-charge of European and American affairs at the ministry of Foreign Affairs and International Cooperation.

OBITUARY: Prolific U.S. character actor Eli Wallach dies at 98: NYT

Image
Eli Wallach, an early practitioner of method acting who made a lasting impression as the scuzzy bandit Tuco in "The Good, the Bad and the Ugly", died on Tuesday at the age of 98, the New York Times reported. Wallach appeared on the big screen well into his 90s in Roman Polanski's "The Ghost Writer" and Oliver Stone's "Wall Street" sequel and other films. "It's what I wanted to do all my life," Wallach said of his work in an interview in 2010. Having grown up the son of Polish Jewish immigrants in an Italian-dominated neighborhood in New York, Wallach might have seemed an unlikely cowboy, but some of his best work was in Westerns. Many critics thought his definitive role was Calvera, the flamboyant, sinister bandit chief in "The Magnificent Seven". Others preferred him in "The Good, the Bad and the Ugly" as Tuco, who was "the ugly", opposite Clint Eastwood in Sergio Leone's class