Posts

Dkt. Mohammed Gharib Bilal ateta na waziri wa Utalii na Maliasili

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu na Naibu wake, Mohamed Mgimwa, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 27, 2014.

International Tennis Federation (ITF) yaibeba tenisi ya Tanzania

Image
Viongozi wa TTA wakiongea na waandishi Shirikisho la Tenisi la Kimataifa (ITF) limetoa nafasi moja ya upendeleo kwa mchezaji wa Tanzania kushiriki kwenye mashindano ya Tenisi ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 18 yaliyopangwa kufanyika mapema Machi katika nchi mbili tofauti. Awali Tanzania ilipitisha wachezaji wanne waliofuzu kushiriki kwenye mashindano hayo ambayo yatafanyika jijini Nairobi, Kenya kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 16 na Cassablanca, Morocco kwa wachezaji chini ya miaka 18. Kwa mujibu wa kocha wa timu ya taifa ya vijana, Kiango Kipingu, chama cha Tenisi Tanzania (TTA) kimepewa nafasi nyingine moja kwenye michuano hiyo ambayo ITF imesema itachagua yenyewe mchezaji huyo ambaye itamghariamia kwa kila kitu. “Kutokana na motisha hiyo ya ITF sasa Tanzania itawakilishwa na wachezaji watano ambao wanne kati yao walifikia viwango vya kushiriki mashindano ya Afrika baada ya kufanya vizuri kwenye yale ya Afrika Mashariki na kati hivi karibuni jijini Dar...

Lowassa to Juma Nkamia: Reconcile with the media

Image
The chairman of the Parliamentary Committee for Foreign Affairs, Security and Defence, Mr Edward Lowassa, has urged the ministry of Information, Culture, Youth and Sports to settle its recent misunderstanding with media practitioners in the country. Mr Lowassa said this yesterday when his committee was bidding farewell to Kondoa South Member of Parliament, Mr Juma Nkamia (CCM), who was recently appointed deputy minister for Information, Culture, Youth and Sports. Mr Lowassa said it was not fair for the ministry, which is custodian of the media in the country, to be blacklisted by the same industry. “Please, you should sit down with media practitioners and discuss your differences. Both you and the media should compromise because no one has monopoly rights to this country,” said Mr Lowassa. He also urged the ministry to make sure that the new Information and Media Bill is tabled in Parliament as soon as possible.   SOURCE: The Citizen/Tanzania

SUB TWO HRS IMAGINATION: Some say it will never happen, at SPIKES we like to think is merely a matter of time

Image
1. Steady progression : The world record has improved by almost five minutes in the past twenty years. It has little more than three minutes to go to dip under two hours. 2. Depth of quality: Just ten years ago, only two men had run faster than 2:05. There have now been 37 performances (33 of them on a legal course) faster than 2:05. 3. Diversity : With so many athletes entering the world all-time top 30 each year, it shows the world record is vulnerable. 4. Fresh blood : When Haile Gebrselassie ran his first marathon in 2:06:35, it was the fastest debut in history. It’s now not even among the 20 fastest debuts because there are unheralded teenagers – with nowhere near the pedigree of Gebrselassie.   5. Substitute for experience : Whether or not these new marathon talents are as young as they say they are is irrelevant. The fact that they are running so fast with such little international competitive experience is hugely promising. 6. Great strides : Wilson Kipsang imp...

Mwandishi wa BBC Ann Waithera afariki: Shirika la habari la BBC limempoteza mwandishi wa habari Ann Waithera

Image
Ann Waithera enzi za uhai wake Ann alikuwa anafanya kazi na BBC katika ofisi za Nairobi na amekuwa akiugua Saratani ya Ubongo kwa karibu miaka miwili. Ann aliwahi kuwa ripota wa BBC mjini Addis Ababa Ethiopia. Kabla ya kujiunga na BBC Ann alifanya kazi na shirika la habari la Nation Media Group nchini Kenya na Citizen TV. Ann alikuwa na umri wa miaka 39. Waandishi wenza wa Ann BBC wameelezea watakavyomkumbuka Ann katika enzi zake alipokuwa anafanya kazi nao. Razvan Scortea mmoja wa wakuu wa BBC amesema : "Nimeshtushwa sana na kifo cha Ann. Alikuwa mtu mzuri , mwerevu mpenda watu na mwenye matumaini kwa kila jambo. Mungu ambariki.'' Mkuu wa BBC Afrika Solomon Mugera ameelezea kuwa ni jambo la kuhuzunisha sana kumpoteza Ann. ''Nimehuzinika sana. Anne alikuwa mwandishi mahiri . Kila nilipomtembelea nilivutiwa sana na matumaini ya Ann kupona. Hata katika mkesha wa krismasi, nilipozungumza na Ann alikuwa mcheshi sana. Nakumbuka Ann ndiye alikuwa...