Posts

World Cup: Mkusanyiko mkubwa wa pili duniani baada ya Olympic Games

Image
Mashindano ya kombe la dunia ni mkusanyiko nambari mbili katika mikusanyiko yote ulimwenguni, pia ni mashindano yanayoangaliwa na mabilioni ya watazamaji duniani (TV Viewers). Juni 12 mashindano hayo maarufu yataanza katika miji tofauti nchini Brazil ikimwemo Sao Paulo, Rio De Janeiro, Brasilia nk.  Ni bahati kubwa kwa nchi hiyo kubwa iliyopo Latin America kwamba 2016 pia mashindano namba moja duniani (Olympic Games) yatafanyika Brazil katika mji wenye bandari kubwa ya Rio De Janeiro.

RT safari hii mkiidhulumu taifa tutafanya mapinduzi wazi wazi

Image
Andrea Sambu Sipe Habari za kutatanisha zinasukwa za kukata jina la Andrea Sambu Sipe asiende kuiwakilishaTanzania katika mashindano ya Jumuia ya Madol a . Sambu mwezi December mwaka jana aliweza kushiriki mashindano ya DANZHOU INTERNATIONAL MARATHON nchini China ambapo alikimbia muda wa masaa 2:14:30 , muda ambao umefikia kiwango na vigezo vya kushiriki mashindano ya Commonwealth Games. Mbali na Sambu pia kuna Musa Nduki Mohamed ambaye pia amefikia muda unaotakiwa, hivyo kwa maelezo mafupi na yanayoeleweka ni kwamba ‘Hakuna mwingine zaidi ya hao wawiwili wamefikia vigezo vya kimataifa vinavyohitajika ili kushiriki mashindano hayo ambayo yatafanyika mwezi July. MASWALI MUHIMU: Kama kweli RT inataka Tanzania ipate medali lakini ikanuia kumwacha Sambu je watakuwa na maana gani? Haki ya mungu Ikulu tutagonga hodi iwapo Sambu ataachwa! Sambu ni mwanariadha pekee Tanzania aliyewahi kushinda mashindano ya dunia ya mbio za nyika; Hakuna mwingine. Angalia profile yak...

Standing ovation: Sydney Gidabuday received a Varsity certificate

Image
Sydney received the Distance Runner Athlete of the Year award; Sydney had a “ Standing Ovation” for a great track season! Sydney Gidabuday and Bryan received their awards this evening, congratulations to both of them! Sydney Gidabuday and his El Modena teammates show their support and solidarity.  SOURCE: Helen Moreno in California.

RT IMEPOTEZA MWELEKEO KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE

Image
Leonard Thadeo / Mkurugenzi wa michezo May 20 th , 2012 RT walifanya uchaguzi kwa MOU ambapo walisaini kwamba baada ya siku tisini viongozi watakuwa na katiba mpya ama sivyo watakuwa wamevunja mapatano, August 20 th , 2012 siku tisini zilitimia. (   Leo tarehe 20 th 2014 ni miaka miwili kamili imepita bila katiba mpya wala mafanikio yoyote katika mchezo wa riadha zaidi ya aibu kwa taifa letu. (    Inaelezwa kwamba mwaka mzima umetimia bila kikao cha kamati ya utendaji kufanyika kama ilivyo sheria, kanuni na taratibu za lazima za BMT. (    Leo hii RT imeburuzwa mahakamani (TEMEKE) kwa kudaiwa zaidi ya TSH: 20,000,000 kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa taasisi hiyo isiyo na katiba inayotambulika. (    Mapema mwezi huu timu za kwenda kambini nje ya nchi zilichaguliwa mezani badala ya kuchaguliwa viwanjani kwa vigezo vya kushindanishwa ili walio bora wapelekwe.          Mheshimiwa waziri ...

Bring back the Mile: A Short History of the Mile

Image
The word “mile” comes from the Latin “mille”, meaning thousand, and a mile was 1,000 Roman strides, a stride being two paces. A mile is equal to 5,280 feet or 1,760yards or approximately 1,609 meters. Currently, the United States and Great Britain use the mile as a measurement unit. The mile became “The Mile” near the end of the 19th century when professional foot racing became the most popular sport in England, and Walter George (GBR) was the Mile’s first superstar. Over the next 100 years, other great Milers followed such as Norman Taber (USA), Paavo Nurmi (FIN), Glenn Cunningham (USA), Gunder Hägg & Arne Andersson (SWE), Herb Elliott (AUS) and Jim Ryun (USA).  But it was Roger Bannister (GBR), in 1954, who cemented the Mile’s place in history with the first sub-4 minute Mile – a time many experts thought an impossible if not a deadly barrier to break, and to this day, Bannister’s iconic mark is the watershed moment for the Mile. In the earl...