Posts

2016 Olympics Will Have Fewer Track Athletes

Image
It's going to be a little harder to be a track and field Olympian in 2016 than it was last year. There will be a maximum of 2,000 track and field athletes at the 2016 Games in Rio de Janeiro, 231 fewer than competed in London, according to the Olympics-centric site Inside The Games . The number from London was the most ever; the 2016 cap of 2,000 returns the athlete total to what it was in recent pre-London Olympics. Still, the decline in track and field athletes competing in 2016 signals a potentially troubling trend, according to Inside The Games. The reduced number of track competitors coincides with track no longer being in its own category when it comes to the Games' revenue-sharing plan. The IAAF, track and field's international governing body, got about $45 million from the 2012 Games, the most of any sport's governing body, Inside The Games reports. Starting in 2016, gymnastics and aquatics will have the same revenue-sharing agreement as track and

Marwa kuiongoza Holili Uhuru Marathon

Image
Dickson Marwa MWANARIADHA mahiri, Dickson Marwa, anatarajiwa kuwaongoza wanariadha wengine 10 kuipeperusha bendera ya Klabu ya Riadha ya Holili, ‘Holili Youth Athletic Club (HYAC)’, kwenye mbio za kwanza za Uhuru Marathon zitakazotimua vumbi Desemba 8 jijini Dar es Salaam. Dickson ambaye kwa sasa ni moto wa kuotea mbali katika mbio za kilomita 21 (Nusu Marathon), atawaongoza wenzake Nelson Priva, Alfonce Felix, Saidi Makula, Lucian Reginald, Catherine Lange, Fadhila Salum, Consolata Samwel, Selina Amos na Augustino Sulle katika kilomita 21 pamoja na Dotto Ikangaa atakayeshiriki kilomita 5. Mkurugenzi mtendaji wa klabu hiyo, Domician Rwezaura, aliiambia Tanzania Daima, katika mahojiano maalumu ofisini kwake jana kwamba Marwa na wenzake wataondoka Desemba 7 wakiongozana na viongozi wanne akiwemo kocha wao, Adram Mikumi, Meneja Nelson Mrashani, na Katibu Innocent pamoja na mwenyewe. Rwezaura alisema, mazoezi yanaendelea katika kambi ya mazoezi yaliyoko Tarakea. Wakati huoh

NI WAKATI MWAFAKA WA ADEN RAGE KUONDOKA SIMBA

Image
Ismail Aden Rage Na Baraka Mbolembole Kuelekea mwisho wa utawala wa Hassan Dalali kama mwenyekiti wa klabu ya soka ya Simba, timu hiyo ya ' Msimbazi' ilikuwa katika wakati mgumu kiutawala. Dalali alikua aishi kuvurugana na aliyekuwa katibu wake mkuu Mwina Kaduguda, kwa mtazamo wa haraka Dalali ndiye ' Mwanachama- kiongozi' anayekubalika zaidi na ' Wana- Simba',   ila katika utendaji wake wa mambo muhimu katika makaratasi ilikuwa ni tatizo kubwa. Kumalizika kwa muda wa utawala wake   klabu ikaingia katika uchaguzi huru na wa haki na hapo Julai 2010 Ismail Aden Rage akaingia madarakani. Nchi yetu bwanaaa   kila mahali migomo tu, hadi wenye maduka wameingia!! Published By: Shaffih Dauda

Women and sport: Kuwait action plan sets out a promising future for African and Asian women in sport

Image
The first Afro-Asian Women and Sport Forum taking place in Kuwait and jointly organised by the International Olympic Committee (IOC), the Olympic Council of Asia (OCA) and the Association of National Olympic Committees of Africa (ANOCA), came to a close yesterday with a clear promise and active commitment to furthering the development of women’s role in the world of sport in the two continents. Opening addresses from OCA President Sheikh Ahmad Al-Fahad Al-Sabah and ANOCA President Lassana Palenfo set the tone for the three-day event as they outlined the achievements made and the challenges ahead for women in sport.  The Forum, attended by representatives from all 98 African and Asian NOCs, as well as delegates from the United Nations agencies, NGOs, the IOC, ANOCA, the OCA, and Continental and National Federations, concluded with the drawing up of an action plan reaffirming the delegates’ determination to include women representatives in all committees, monitor and communic

JAMALI MALINZI (Rais wa TFF) APONGEZA HARAKATI ZA gidabuday.blogspot.com

Image
JAMALI MALINZI / RAIS WA TFF Salamu Wilhelm Gidabuday. “Ahsante kwa salamu za pongezi na kazi unayoifanya kupitia gidabuday.blogspot.com" . "Tafadhali naomba tuendelee kushirikiana ili tupate ushindi na mafanikio ya kudumu ya mpira wa miguu Tanzania”.  “Naomba nifikishie salamu zangu kwa watu wa Arusha”. Wako, Jamal Malinzi Mwisho wa kumnukuu mheshimiwa Jamali Malinzi; ‘Mheshimiwa Rais wa TFF salamu zako zimefika kwa watu wa Arusha, nami pia nikushukuru kwa kutambua harakati zetu vijana wa Arusha katika ukombozi wa michezo Tanzania. TUKO PAMOJA MKUU’ Natanguliza shukurani, Kwa niaba ya wanaspoti wenzangu, Wilhelm Francis Gidabuday.