Posts

KATIBA MPYA: Wafugaji wahofu Katiba kutowatambua

Image
KUNDI la wafugaji nchini wameeleza hofu ya maisha yao kutokana na rasimu ya pili ya Katiba kutokuwa na vipengele vinavyotambua uhalali wao wa kuishi na shughuli wanazofanya. Akizungumza na Tanzania Daima juzi, Mwakilishi wa wafugaji ambaye ni mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Makeresia Jibubu, alisema baada ya kupitia rasimu hiyo wamebaini kuwepo na vipengele ambavyo havijaonyesha thamani ya wafugaji nchini. Alisema katika rasimu hiyo wafugaji wametajwa katika kipengele cha malengo makuu na sera ya nchi na kusema ili suala la wafugaji liwe na umhimu linapaswa liwekwe kwenye kipengele cha wajibu na haki za binadamu, ili waweze kutambulika kisheria. CHANZO: Tanzania Daima

MWALIKO WA KITAIFA: Sokoine Memorial Mini Marathon inakualika Monduli Aprili 12

Image
Gidabuday,W.F. Tarehe 12 Aprili 2014 Tanzania inatimiza miaka 30 tangu kumpoteza kiongozi wake shupavu aliyefariki kwaajalimbaya ya gari Aprili 12 1984 mkoani Morogoro. Si mwingine bali ni aliyekuwa Waziri Mkuu katika seriakali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine aliyezaliwa 1938 wilayani Monduli mkoani Arusha. Ø   Tanzania itaadhimisha miaka 30 ya kifo cha Sokoine, ni kwa kukumbuka mema yote aliyoyafanya kiasi kwamba hadi leo anakumbukwa. Ø   Tanzania pia mwaka huu inasherehekea maadhimisho ‘Jubilee’ ya miaka 50 tangu nchi zetu mbili za Tanganyika na Zanzibar ziungane. Ø   Tanzania pia leo hii inaandaa historia nyingine tena ‘Katiba Mpya’ huu ni mwaka wa historia ambayo haipatikani kwingine Afrika kama si duniani. Ø   Mimi kama mratibu wa mbio hizo ‘Race Director’ ninapenda kuwaomba wabunge wa bunge maalum la katiba watenge siku hiyo muhimu ya Sokoine Day kuja Monduli kusherehekea na watanzania wenzao ili wapate ile ‘Or...

KAZI KWENU WABUNGE: JK aweka wazi faida na changamoto za serikali tatu

Image
Marais wetu wakifurahia jambo Katika Hotuba yake iliyofuatiliwa na wengi katika historia ya utazamaji wa televisheni, rais Kikwete ameonyesha kutoegemea upande wowote japo alikiri kuwa na haki ya kutoa mawazo yake. Wengi wamefurahia uthubutu wake wa kutoegemea upande wowote japo kwa mbali sana hisia zake ziliweza kudhihirika. Amesisitiza “Maridhiano” ndio itakayowapatia watanzania katiba bora. Hata hivyo makofi yaliweza kusikika kwa wingi kila alipoweza kuelezea changamoto za muundo wa serikali tatu; kitendo kinachoashiria kwamba wanaopenda serikali mbili wapo wa kutosha japokuwa bila maridhiano hawataweza kupata ‘Absolute Majority” vivyo hivyo hata wale waumini wa serikali tatu nao watahitaji ‘ Political Compromise’  Mtazamo wangu: 'Katiba mpya inakuja' japo kutakuwepo na ‘Turbulence and rough ride ahead’ Wabunge wote waliopo Dodoma ni watanzania wenzetu,wenye masilahi sawa na sisi, wenye uzalendo na wenye kujitambua!  Hivyo tuwaombe waanze ...

African Blood in American soil: Sydney Gidabuday is “Intercontinental athlete”

Image
Sydney Gidabuday runs the second fastest high school 5000 meter time of 14:26.86 in Orange County, California at the Ben Brown Track & Field Invitational.  Mind you, this is a college track meet; Sydney is a 17 year old El Modena High School , he is t alented senior that won the fast heat of this college/ open competition today on 03/15/2014. Congratulations to Sydney Gidabuday! Sydney is a son Wilhelm Gidabuday,  the former California State JC champion in the 5000m, 10000m and Cross Country, he also won the title of ‘State Athlete of the Year’ in 1994 when he won double events in in the 1994 State Championships held in Cerritos California.