Posts

Kijitonyama Open JR Tennis Tournament to kick off tomorrow

Image
Kijitonyama Open JR Tournament will be held at TTCL grounds More than Sixty (60) kids from all over the the country will gather together at the TTCL grounds in Dar es Salaam for a two day tennis open match. Among those who have confirmed to participate include AICC Club from Arusha,  Morogoro Gymkhana Club, Dar es Salaam’s Bahari Beach Club, Mkuranga Club fro Coast Region, Dar es Salaam Gymkhana Club and the host Kijitonyama Club. The Kijitonyama Tennis Academy organizing committee are happy to welcome all Dar es Salaam resident to attend, to watch and have fun during the two days tennis event.

Dar Rotary Marathon attracts 10,000 entries

Image
Bank M deputy CEO Jacqueline Woiso (C) speaking about the 2014 Rotary Dar Marathon. The marathon which is an annual event will be held on October 14. The Rotary Dar half Marathon 2014 hosted by the six clubs in Dar es Salaam in partnership with Bank M is on track for its biggest year yet. Entries are expected to surpass last year’s figures and Rotarians are looking forward to welcoming more runners and walkers than ever before.   Former President of the United Republic of Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi will once again flag off the marathon and walk the nine kilometre to empower future leaders through education, in which funds are being raised to refurbish the 400 square metre state of the art Entrepreneurship Resource Center at the University of Dar es Salaam by providing a 85 thin client computer network with all software and support disability access.   The event is to take place on Tuesday October 14   (Nyerere Day) at the Green on Kenyatta ...

Dar to honour Nyerere in style

Image
Local and foreign athletes compete during a past Dar Rotary Marathon. Over 1000 runners from five countries are expected to battle it out for top honours in this year’s event set for Tuesday. PHOTO | FILE  Elite athletes from five countries are expected to compete in this year’s Dar Rotary Marathon set for Tuesday. The race to be held on Nyerere Day will feature over 1000 runners from Kenya, Rwanda, Uganda, Malawi and hosts Tanzania, according to the event’s organizing committee chairman, Vikash Shah. “We are very happy that a number of top athletes have confirmed their participation in this year’s Dar Rotary Marathon,” said Shah. He named the two-time Sydney City2Surf champion Dickson Marwa and Fabian Joseph as among local marathoners expected to battle  it out for top honours during the anxiously awaited event. Rwanda will field three runners in the race, including Eric Sebahire and Felicien Muhitira, who won a bronze medal in the recent East...

Theresia Dismas: Mama jasiri aliyeiletea Tanzania medali ya kwanza 1965

Image
Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba mama yetu Theresia Dismas hayupo duniani kama nilivyowahi kuandika katika blog hii.  Ukweli ni kwamba mtanzania wa kwanza kufungua pazia la medali yupo hai na kwamba watanzania tuanze juhudi za kumtambulisha kwa viongozi wakuu wa serikali. Nilipoandika story kuwa mwanamke ndiye aliyeleta medali wa kwanza wengi walistuka maana historia hii inayowainua wanawake ilifichwa kwa muda mrefu bila shaka kutaka kupotosha ukweli. Jana nimepigiwa simu toka Uingereza na mtoto wa Theresia Dismas akaniambia habari yote katika blog yangu ni kweli “Isipokuwa” mama yao yupo hai na salama na anaishi Kenya! 'Mimi nilistuka na kushindwa jinsi ya kumjibu ila nilifurahi kwamba blog yangu imevumbua dhahabu iliyofichwa' na kwamba nitafanya juhudi kwa kushirikiana na wazalendo wenzangu tuwez...

Kwa mwenendo huu, michezo haitafanikiwa Tanzania

Image
Mama Anna Kibira / Mwenyekiti wa Chama cha Netboli Taifa(CHANETA) Kuondolewa kwa timu ya taifa ya netiboli kwenye harakati za kutafuta tiketi ya kufuzu kushiriki fainali za Kombe la Dunia ni mwendelezo wa matukio ya kusikitisha yanayoendelea kuzikumba timu za taifa za Tanzania. Chama cha Netiboli Tanzania (Chaneta) kilitangaza kuiondoa timu hiyo kutokana na kukosa fedha za gabarone, Botswana kushiriki mashindano ya Afrika ya kutafuta tiketi ya kwenda Kombe la Dunia. Huenda kwa mara ya kwanza tungeshuhudia Taifa Queens ikikata tiketi ya kushiriki michuano hiyo mikubwa, lakini ndoto hizo ziliyeyushwa na Chaneta. Chaneta ilitembeza bakuli la kutafuta fedha za kufanikisha safari hiyo, lakini haikufanikiwa. Kushindwa kwa Taifa Queens kwenda kwenye mashindano hayo ni mwendelezo wa timu za Taifa kukosa mashindano muhimu. Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) pia limekuwa likijiendesha kwa mtindo huo, hali kadhalika kwa vyama vya ngumi, kikapu, mpira wa meza, judo na ...

TENNIS: Conflict explodes within Tanzania Tennis Association

Image
Almost all sports associations in Tanzania have internal problem within itself, the seen in the tennis court may someday look like this!

Malinzi maji ya shingo

Image
Jamal Malinzi / Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) BODI ya Ligi Kuu Tanzania kwa kushirikiana na Klabu 14 za ligi hiyo, zimetishia kusaka theluthi mbili ya saini za Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ili kuitisha Mkutano Mkuu wa dharura wa kupiga kura ya kutokuwa na imani Rais wa shirikisho hilo, Jamal Malinzi. Hayo yamesemwa jana jijini Dar es Salaam na wakili wa kujitegemea Dk. Damas Ndumbaro, anayeiwakilisha TPL Board na klabu 14 za Ligi Kuu, katika jaribio lao la kupinga shinikizo la TFF kuzikata klabu hizo asilimia tano ya pesa za wadhamini wa ligi hiyo ambao ni Kampuni ya Vodacom na Azam Media Ltd. Uamuzi huo wa TPL Board na klabu za Ligi Kuu, umekuja siku moja baada ya Malinzi kusisitiza kuwa uamuzi wa kukata asilimia tano ya makato ya pesa za wadhamni kwa klabu za ligi hiyo uko palepale, na kwamba bodi hiyo haina mamlaka ya kupinga agizo hilo na wenye uwezo au mamlaka hayo ni Kamati ya Utendaji ya TFF. Akijibu hoja moja baada ya nyi...