Posts

BARBAIGA: The tribe that keeps true culture beside interference of western civilization

Image
Barbaig lady vending chicken  The most general name for this widely dispersed ethnic group is Datooga . The best known and most numerous sub-tribesie of the Datooga peoples are the pastoral Barabaiga, who reside chiefly in that part of the northern volcanic highlands dominated by Mount Hanang (3418m), whose scared nature makes it an important theme in Barabaiga myth and song. The Datooga keep goats, sheep, donkeys and a few chickens, but cattle are by far the most important domestic animal. The meat, fat, blood, milk, hide, horns, tendons and cow dung of every animal have either practical or ritual purposes. They were formerly nomadic, depending largely on milk products for their diet, and moving whenever the needs of their cattle dictated. Now, however, many farm a plot of maize and sometimes beans and millet. The Datooga themselves blend in with their environment, their dress being the color of the reddish brown soil. Only on closer inspection will they appear colorf

Mo Farah beaten in Great North Run sprint finish by Kenenisa Bekele

Image
Kenenisa Bekele wins the Great North Road ahead of Farah and Haile/PA Kenenisa Bekele could feel Mo Farah bearing down on him like a hawk swooping in for the kill. This time, however, the prey outfoxed the predator. There was to be no glorious finale for Farah in his first attempt at the Great North Run half-marathon , yet Great Britain's Olympic champion can take solace from the fact that he was beaten here by one of the finest long-distance runners of the modern era. One second was the mere gap that separated Bekele and Farah, but the Ethiopian timed it beautifully. He fought his way through the fierce Tyneside wind to finish the 32nd Great North Run in 1hr 00min 09sec, with his compatriot Haile Gebrselassie , who set the pace for the majority of the race, third in 1:00.41. For Gebrselassie it was one more record to add to his stellar career, running the fastest half-marathon ever recorded by a man aged 40 or over. Farah set a new British record but missed

AK BOSS IN TROUBLE: PAUL TERGAT BECOME THE SECOND PERSON EVER TO BE THE MEMBER OF INTERNATIONAL OLYMPIC COMMITTEE FROM KENYA

Image
PAUL TERGAT 'THE GREAT' By Jemimah Wangui  NAIROBI, Kenya September 12 – Athletics Kenya (AK) top bosses closed ranks to launch the biggest road race in Kenya, the Stanchart Nairobi International marathon 48 hours before the expiry of the notice given to federation president Isaiah Kiplagat by his detractors to convene a Special General Meeting . More than 23 branch officials including members of the AK National Executive Committee (NEC) gave Kiplagat until Friday to convene the meeting or they will go ahead to organise a SGM that could see the removal of long-serving Kiplagat from the top post. However, AK bosses displayed a show of unity on Wednesday during the launch of the 2013 Stanchart Marathon that will be run on October 27, arriving and leaving the venue in one vehicle. “In AK we have no problems. We are friends and minor disagreement does not mean we fight each other.We are still standing and we shall work together with Stanchart Marathon and this

ANDREA SAMBU SIPE: MWANARIADHA PEKEE TANZANIA ALIYETWAA UBINGWA WA MBIO ZA NYIKA ZA DUNIA 1991

Image
Andrea Sambu Sipe (kushoto) Ilikuwa tarehe 24 March 1991 mjini Antwerpen nchini Ubelgiji ambapo Tanzania ilijipatia historia ya kwanza na ya pekee kwa Andrea Sambu Sipe kushinda mashindano hayo makubwa ya nyika duniani. Siyo Bayi wala Nyambui ambao wanatanda magazetini kila siku, hakuna mwingine aliyewahi kushinda ubingwa wa dunia wa mbio za nyika ( World Cross Country Championships ). Andrea Sambu pia aliendeleza moto pale ambapo alivunja rekodi ya dunia ya vijana ya meta 3,000 nchini Italia. Pia Sambu ana rekodi nzuri ya mbio za marathon ambapo alikimbia masaa (2:09:52) Seoul Korea 2004. Kama ilivyo kauli mbiu ya blog hii "Utaifa Kwanza" , madhumuni makubwa ya kuibua historia njema zilizoletwa na watu wema ambao taarifa zao zinafichwa kwa makusudi ya kuendeleza sifa za watu fulani; nimedhamiria kuibua mazuri yote yaliyofanywa na watanzania wenye nia njema kama Andrea Sambu, Phaustin Baha Sulle na wengine wengi moja baada ya mwingine. Wiki iliyopita Sa

PHAUSTIN BAHA SULLE: MWANARIADHA ALIYEKATAA KUPOKEA ZAWADI BILA BENDERA YA NCHI YAKE KUPEPEA MBELE YAKE AKIWA VERACRUZ MEXICO

Image
Mwanzo wa mashindano ya dunia mjini Veracruz Mexico, Tanzania ilipata medali ya Fedha kupitia mwanariadha Phaustin Baha Sulle Ilikuwa katika mbio za Lisbon Half Marathon 2000 ambapo wanariadha kutoka Kenya, Ethiopia, Moroco, Tanzania, Ulaya, Marekani na Asia walipokutana nchini Ureno kushiriki mashindano hayo makubwa duniani. Phaustin Sulle nyuma ya Paul Tergat Paul Tergat wa Kenya aliyekuwa akishikilia rekodi ya dunia ya nusu marathon kwa wakati huo alikuwepo katika mstari wa kuanzia mbio.  Wanariadha wote walikuwa wakimtazama Tergat na wakenya wenzake, hawakujua kuna kijana chipukizi kutoka Babati Tanzania ambaye hakujali nani yupo, yeye alisubiri kwa hamu mbio zianze. Muda mfupi baadaye Paul Tergat alijikuta akitolewa jasho na Phaustin Baha Sulle kuanzia kilomita ya kwanza hadi ya kumi. Ndipo sasa Tergat alipotumia uzoefu wake kumdhibiti Sulle hatimaye Tergat alishinda mbio hizo kwa umbali mdogo sana kati yake na Phaustin Baha Sulle. Tergat alikimbia dakika 5

BMW Berlin Marathon to be held on September 29th 2013

Image
Zacharia Barie, Suleiman Nyambui and Gidamis Shahanga kicking it out The Berlin marathon is one of the largest and most popular road races in the world. Along with four other races, it forms the World Marathon Majors, a series of which Berlin by itself is offering a $1 million prize purse to be split equally between the top male and female marathoners. Tanzania did not send athletes to Berlin Marathon for so long although Suleiman Nyambui has won twice in 1987 and 1988. Alfredo Shahanga surprised the world in 1989 when he took the early lead to the end and won the race with personal best time of 2:10:11. Gidamis Shahanga ran his personal best of 2:08:32 when he finished 2nd behind the Australian marathoner Steve Moneghetti. Although Gidamis Shahanga finished 2nd among the all time Tanzanians who ever participated in Berlin Marathon, he is the fastest of them all in this particular cource. QUESTION ?: Why Tanzanians can't afford to line up in the world famous marat

JIMMY IGOHE ANENA KUTOKA NEW YORK KUHUSU MAANDALIZI YA OLIMPIKI

Image
Viwanja vya Olimpiki ya Tokyo 2020      Waheshimiwa, Jamani habari ndio hiyo sasa !!! Tokyo wataandaa michezo ya 2020 Olympics.       Niliposikia hivyo niliuma vidole nikamwaza mwanamichezo wetu wa zamani Bwana JUMA IKANGAA alivyokuwa akipata vifaa vya ASICS na jinsi alivyoiinua kampuni hii miaka ya nyuma. Kushiriki kwakeTokyo, Fukuoka, Boston na New York City Marathons na kuwatangaza ASICS na kuwa kampuni kubwa inayoheshimika kwa sasa, na pia yeye binasfi bado anapewa vifaa vya ASICS mpaka leo hii.          Suala sasa ni kuwa je, anaubavu wa kuwashaiwishi ASICS watumwagie vifaa kwa ajili ya wanamichezo wetu?  Hali ya kusikitisha imeonekana kwenye mashindano ya taifa huko Morogoro ambapo wachezaji wetu walionekana kuwa na moyo lakini ni vitendea kazi (vifaa) hawana.          Juma Ikangaa amekuwa mgumu wa kusaidia kupata vifaa kwa ajili ya wachezaji kwani alishafanya hivyo 1984 na kuangushwa, na hivi karibuni alijaribu tena lakini kulikuwa na masharti kadhaa. Hivyo ni jukum