Posts

PHAUSTIN BAHA SULLE: MWANARIADHA ALIYEKATAA KUPOKEA ZAWADI BILA BENDERA YA NCHI YAKE KUPEPEA MBELE YAKE AKIWA VERACRUZ MEXICO

Image
Mwanzo wa mashindano ya dunia mjini Veracruz Mexico, Tanzania ilipata medali ya Fedha kupitia mwanariadha Phaustin Baha Sulle Ilikuwa katika mbio za Lisbon Half Marathon 2000 ambapo wanariadha kutoka Kenya, Ethiopia, Moroco, Tanzania, Ulaya, Marekani na Asia walipokutana nchini Ureno kushiriki mashindano hayo makubwa duniani. Phaustin Sulle nyuma ya Paul Tergat Paul Tergat wa Kenya aliyekuwa akishikilia rekodi ya dunia ya nusu marathon kwa wakati huo alikuwepo katika mstari wa kuanzia mbio.  Wanariadha wote walikuwa wakimtazama Tergat na wakenya wenzake, hawakujua kuna kijana chipukizi kutoka Babati Tanzania ambaye hakujali nani yupo, yeye alisubiri kwa hamu mbio zianze. Muda mfupi baadaye Paul Tergat alijikuta akitolewa jasho na Phaustin Baha Sulle kuanzia kilomita ya kwanza hadi ya kumi. Ndipo sasa Tergat alipotumia uzoefu wake kumdhibiti Sulle hatimaye Tergat alishinda mbio hizo kwa umbali mdogo sana kati yake na Phaustin Baha Sulle. Tergat alikimbia dakika 5

BMW Berlin Marathon to be held on September 29th 2013

Image
Zacharia Barie, Suleiman Nyambui and Gidamis Shahanga kicking it out The Berlin marathon is one of the largest and most popular road races in the world. Along with four other races, it forms the World Marathon Majors, a series of which Berlin by itself is offering a $1 million prize purse to be split equally between the top male and female marathoners. Tanzania did not send athletes to Berlin Marathon for so long although Suleiman Nyambui has won twice in 1987 and 1988. Alfredo Shahanga surprised the world in 1989 when he took the early lead to the end and won the race with personal best time of 2:10:11. Gidamis Shahanga ran his personal best of 2:08:32 when he finished 2nd behind the Australian marathoner Steve Moneghetti. Although Gidamis Shahanga finished 2nd among the all time Tanzanians who ever participated in Berlin Marathon, he is the fastest of them all in this particular cource. QUESTION ?: Why Tanzanians can't afford to line up in the world famous marat

JIMMY IGOHE ANENA KUTOKA NEW YORK KUHUSU MAANDALIZI YA OLIMPIKI

Image
Viwanja vya Olimpiki ya Tokyo 2020      Waheshimiwa, Jamani habari ndio hiyo sasa !!! Tokyo wataandaa michezo ya 2020 Olympics.       Niliposikia hivyo niliuma vidole nikamwaza mwanamichezo wetu wa zamani Bwana JUMA IKANGAA alivyokuwa akipata vifaa vya ASICS na jinsi alivyoiinua kampuni hii miaka ya nyuma. Kushiriki kwakeTokyo, Fukuoka, Boston na New York City Marathons na kuwatangaza ASICS na kuwa kampuni kubwa inayoheshimika kwa sasa, na pia yeye binasfi bado anapewa vifaa vya ASICS mpaka leo hii.          Suala sasa ni kuwa je, anaubavu wa kuwashaiwishi ASICS watumwagie vifaa kwa ajili ya wanamichezo wetu?  Hali ya kusikitisha imeonekana kwenye mashindano ya taifa huko Morogoro ambapo wachezaji wetu walionekana kuwa na moyo lakini ni vitendea kazi (vifaa) hawana.          Juma Ikangaa amekuwa mgumu wa kusaidia kupata vifaa kwa ajili ya wachezaji kwani alishafanya hivyo 1984 na kuangushwa, na hivi karibuni alijaribu tena lakini kulikuwa na masharti kadhaa. Hivyo ni jukum

TOKYO KUANDAA MASHINDANO YA OLIMPIKI 2020

Image
Tokyo Olympic Stadium Hatimaye mashindano ya Olimpiki ya mwaka 2020 yatafanyikia mjini Tokyo nchini Japan , hii ni baada ya mchuano mkali kati ya miji mitatu ya Madrid Hispania, Istanbul Uturuki na Tokyo Japan. Mkutano mkuu wa Kamati ya Olimpiki ya Dunia uliofanyika mjini Boenos Aires nchini Argentina jana ndio ulioamua michezo hiyo kufanyika Tokyo Japan baada ya miji hiyo yote kupigiwa kura na hatimaye mji wa Tokyo kushinda. Michezo yajayo ya Olimpiki ya mwaka 2016 yatafanyikia mjini Rio De Janeiro nchini Brazil . Wanamichezo wa Tanzania tuanze maandalizi yetu mapema iwezekanavyo tuachane na maandalizi ya zima moto.

SYDNEY GIDABUDAY: EL MO CROSS COUNTRY PRIDE

Image
Sydney Gidabuday (with glasses) By Jerry Sanches “He’s a flat out beast,” says freshman, Axel Bravo who does not know Sydney Gidabuday personally; but is aware of what he can do when Sydney laces up his running shoes. Junior, Jonathon Chavez , stated that “Sydney’s an inspiring runner at school whom all the runners here should look up to.” People close to him and even those who scarcely know him would not doubt his strive to be the very best.     Gidabuday was born in Riverside, California on August 21 st to a family hailing from Arusha, Tanzania. At the age of three, Sydney began to run little by little; and then 10 years later, he participated his in first official race placing seventh out of several hundred runners. Thus, his motivation and hunger began.      So how exactly does Gidabuday maintain his excellent form? Before any race begins, a traditional meal of a peanut butter and jelly sandwich, a banana and his lucky Hot Cheetos Fries fill his stomach.

SIKU YA SOKOINE MEMORIAL DAY (MARATHON) 2013 NA MAANDALIZI YA 2014 YAKO MBIONI.

Image
Mh. Namelok Moringe Sokoine - Mbunge wa viti maalum CCM akikabidhiwa  cheti cha kushiriki mbio za Edward Moringe Sokoine Mini Marathon na mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mlongo jana Wilayani Monduli Arusha. Namelok Sokoine ni binti wa hayati Edward Moringe Sokoine ambaye ni mfano wa kuigwa na wanawake wote nchini kwa kusimama kidete katika maandalizi ya kumbu kumbu za baba yake, aliyefariki mnamo tarehe 12/4/1984 kwa ajali ya gari wakati huo akiwa ndiye Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Mgeni rasmi atakuwa Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ambapo pia kutakuwa na michezo mingine, mengi zaidi msikilize Mh. Namelok hapo chini. . A Viongozi na wanafamilia wakishuhudia matukio ya michezo yaliyokuwa yakiendelea.  Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara akiwa na wabunge wakati wa mbio za Mini Marathon ya kumbu kumbu ya hayati "Edward Moringe Sokoine 2013" Wilayani Monduli siku ya jana. SOURCE: ASILI YETU TANZANIA

MAADHIMISHO YA MIAKA HAMSINI YA UHURU: TULIKUWA 'UHURU PEAK' PAMOJA NA MADARAKA NYERERE, ANTONIO NUGAZ, ABUU MALIPULA, NEEMA LODRICK ETC

Image
Shukurani kwa: (1) Zara Tours (2) Tanzania Tourist Board (3) TANAPA kwa udhamini. Lakini sintasahau uzalendo ulioonyeshwa ba Mapota (WAGUMU) pamoja na waongozaji wetu (Guides) kwa kutuhudumia nia nzima. 'HAKIKA MT.KILIMANJARO NI MBINGU ILIYOPO DUNIANI' Source: TANTRAVEL