Posts

POACHING: Night Game Drive gives advantage to poaching criminals

Image
I wonder if at all the ministry of Tourism has thought about night game drive to be a problem in a fight against poaching! How can Tanzania allow tourism at night while the heads of wildlife are suppose to be asleep as humans do. I wonder when our Elephants are at risk of getting killed; is it at the day light or at night? ‘I have conducted a research for the past six month and the story will come out in the next few days, someone is planning the massive killing of our Elephants and whatever comes near their trigger! Follow me on gidabuday.blogspot.com

MOTO CHUO CHA POLISI MOSHI, GHALA LA VIFAA LATEKETEA

Image
Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi wakijaribu kuzima moto na kuokoa mali zilizokuwa zikiungua katika moja ya stoo ya kihifadhia vitu mbalimbali zikiwemo nguo baada ya kuzuka kwa moto katika jengo hilo.

Rais Jakaya Kikwete mgeni rasmi Sokoine Mini Marathon Monduli

Image
Watanzania wote wanakaribishwa katika kumbu kumbu ya miaka 30 tangu kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa zamani Hayati Edward Moringe Sokoine. Katika tamasha la mwaka huu kutakuwa na mbio za Half Marathon (21km) ambazo zitakimbiwa na wanariadha wazoefu (Elite Athletes). Pia kilomita 2 kwa ushiriki wa wanafunzi na waheshimiwa wetu wa serikali, wanajeshi na vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama. Mwaka jana mbio hizo zilifana kwa kuruhusu jamii kushiriki mbio bila kujali mavazi yao ya kitamaduni, wanafunzi pia walishiriki na kuonyesha vipaji vyenye sifa ya kuiletea Tanzania medali kwa miaka ijayo. Pia kutakuwa na mashindano ya kurusha mkuki na kuruka chini kwa wanaume pekee, ngoma za asili pia zitachezwa kwa ajili ya burudani nk. Hii ni fursa ya kutangaza utalii pia.

MSIBA: Mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro afariki dunia

Image
JUU: Mh Lowassa an mkewe mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho ka mwili wa marehemu comrade Mbunge  wa zamani wa Karatu comrade Patrick Qorro.

Athletics: Kilimanjaro Marathon Prize Money Up

Image
Mt.Kilimanjaro -Tanzania THE total prize money of the Kilimanjaro Marathon 2014 has been raised to over 40m/- placing the race as one of Africa's most prominent marathons. John Addison, the Managing Director of Wild Frontiers, international coordinators of the event, said in a statement that winners of the Kilimanjaro Marathon 2014 will be rewarded with over 40m/- prize monies and other exciting incentives from Kilimanjaro Premium Lager, main sponsors of the event along with co sponsors. He said 20m/- is up for grabs by the 42km Full Marathon winners, 10m/- for the 21km Half Marathon winners, 6m/- for the GAPCO 10km Marathon winners and fabulous spot prizes will be provided by Vodacom to the 5km Fun Run finishers. Addison said this year's event is loaded with exciting incentives designed to attract world class runners. First placed winner men/women of the 42km Kilimanjaro Premium Lager Marathon will take home 4m/- each, 2m/- for second placed as well as 1m/- for the t...

SOKOINE DAY FESTIVITIES: Monduli set to mark Sokoine anniversary

Image
Wilhelm Gidabuday, Event organiser   By Joseph Mchekadona 11th February 2014 Monduli residents are expected to mark the 30th anniversary since the death of Tanzanian Prime Minister Edward Moringe Sokoine through staging sports and entertainment activities on April 12. The event’s organiser Wilhelm Gidabuday disclosed in Dar es Salaam yesterday that several activities such as athletics, traditional games and dances will be staged to commemorate the day. Of the activities include javelin, mini marathon of 15 kilometres as well as a two kilometers race for seniors and juniors. This is the second time in a row that sporting activities are being held on the day in memory of Sokoine. Gidabuday said last year the Minister for Information, Youth, Sports and Culture Dr Fenella Mukangara was the guest of honor at the event that attracted more than 600 sportsmen and women before a capacity of 5000 spectators. The member said the sporting activities are held mainly to entertain people and...

RIADHA HARD TALK 2014: RT yabariki mjadala wa riadha Holili

Image
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limeimwagia sifa klabu ya Holili Youth Athletics (HYAC) iliyoko Holili, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro kwa kuandaa mjadala wa kujadili changamoto zinazokabili mchezo wa riadha nchini. Mjadala huo utafanyika kesho katika ukumbi wa Moshi Club ulioko pembezoni mwa mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, ambapo zaidi ya wadau 100 wanatarajiwa kushiriki. Akizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya simu, Katibu Mkuu wa RT, Suleiman Nyambui, alisema shirikisho lake limetoa baraka zote kwa klabu hiyo na mjadala huo na kutoa wito kwa wanamichezo wenye nia njema na maendeleo ya riadha kujitokeza kwa wingi kushiriki. Nyambui, aliwataka wadau wa riadha waelewe kwamba mjadala huo haujaandaliwa kwa ajili ya kusutana bali kuunganisha akili kuangalia mbinu za kutatua changamoto zinazokabili michezo hapa nchini. “Watanzania na wapenzi wa riadha waelewe kwamba mjadala huu utalenga kujadili matatizo yetu kama taifa katika riadha na kuangalia mbele, t...